Harmonize – Vibaya

Leave a Comment

Harmonize - Vibaya

Tanzania singer, Harmonize unlocks a new track titled “VIBAYA”.

Vibaya” produced by Boy Beat is Harmonize official follow up single to the song – ‘All Night‘ featuring Anjella (who also featured him on her latest single KAMA).

Speaking about this brand new music Harmonize shared; “THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART…..!!!! SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK ) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA) KILA 1 KWA WAKATI WAKE ….!!! NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII NIKAWA (HARMONIZE ) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ….!!! MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE…!! NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPI ILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI …..!!!!! SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ….!!!!! NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA …!!!! AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ….!!!!!! AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU …!!! LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE…..!!!!!! KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!! KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ….!!! DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ….!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII …!!! ISIWE“.

Listen and Enjoy below

DOWNLOAD: Harmonize – Vibaya

BUY CHEAT MTN, AIRTEL AND GLO DATA HERE

Advertisement pool
SEE ALSO  VIDEO: OmoAkin x Harmonize & Skales - Sisi Maria (Remix)


Published on: April 13, 2021. at: 20:45
  • POST VIEWS 776

  • Be the first to comment

    Leave a Reply

    Your email address will not be published.